Goal.com
Live
+18 | Commercial Content | T&C's Apply | Play Responsibly | Publishing Principles
7vcymg0mln3e1os1cddrb599k

Dirisha la usajili kufunguliwa tarehe 15 Novemba

Dirisha dogo la usajili kwa klabu za ligi ya Vodacom na ligi daraja la kwanza ‘Star Times’ linafunguliwa Novemba 15. 2016 na kufungwa Desenba 15.

Goal inatambua kuwa nafasi hiyo ndiyo nafasi pekee kwa makocha kufanya mabadiliko ya timu zao hasa kwa wale waliogundua mapungufu wakati wa mzunguko wa kwanza.

Nafasi kama hiyo inaipa timu fursa ya kununua au kumtoa kwa mkopo mchezaji ambaye inaona hana nafasi kwenye kikosi chake au ametakiwa na klabu nyingine kwa kufuata taratibu halali zinazotakiwa kwenye usajili.

Zoezi hilo hufanywa kwa wachezaji wote wandani na nje ya Tanzania na linafungwa saa 6 usiku kwa tarehe iliyopangwa na Shirikisho la soka la Tanzania TFF

Advertisement

ENJOYED THIS STORY?

Add GOAL.com as a preferred source on Google to see more of our reporting