13ka8rl8t6svv18tyvfrcys16m

Extra Time: Golikipa wa Simba Aishi Manula afunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu

 Aishi Manula ambaye amejiunga na Simba msimu huu akitokea klabu ya Azam, amekuwa kwenye kiwango bora na kuiwezesha klabu yake kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara

Kupitia akaunti yake ya Instagram, mlinda mlango huyo ameposti picha mbali mbali za harusi zikimuonesha yeye pamoja na mchumba wake wakihashiria kuna jambo la furaha linaendelea muda huo

Goal linamtakia maisha mema mlinda mlango huyo kwenye maisha mpya anayoenda kuya anza baada ya kuachana na ukapela

Advertisement

ENJOYED THIS STORY?

Add GOAL.com as a preferred source on Google to see more of our reporting

0