Tuesday, January 10, 2017

Caption

Baada ya kuing'oa Yanga, Simba sasa itakutana fainali na Azam FC ambayo imeitoa Taifa Jang’ombe katika mchezo uliotangulia jioni ya leo

Caption

Frank Domayo ndiye aliyeipeleka Azam FC, fainali kufutia bao lake alililolifunga dakika ya 33, goli pekee la mchezo huo ambalo limeipeleka timu yake fainali

Caption

Simba na Yanga zitakutana Jumanne mchezo wa nusu fainali kombe la Mapinduzi unaotarajiwa kupingwa kwenye dimba la Amani Zanzibara majira ya saa 2.15

Caption

Yanga inakutana na mahasimu, Simba katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi bila huduma ya Donald Ngoma, Amissi Tambwe na wengine wawili

Monday, January 9, 2017

Caption

Ni mchezo wa kufa na kupona kwa timu zote mbili kila upande ukitaka kuonyesha kuwa upo fiti zaidi ya mwengine, Lakini rekodi zinaibeba zaidi Simba

Caption

Kocha wa Simba alikaririwa akisema wapo tayari kukutana na Yanga muda wowote na sasa watakutana nayo katika nusu fainali za kombe la Mapinduzi

Sunday, January 8, 2017

Caption

Yanga wamepoteza mechi yao ya kwanza kwa mwaka 2017 kwa goli 4 kwa bila dhidi ya Azam, kwenye mashindano ya kombe la Mapinduzi hatua ya makundi

Caption

Nimchezo mgumu wa kukamilisha hatua ya Makundi Simba inahitaji ushindi ili kupunguza dharau kutoka kwa mahasimu wao Yanga ambao jana walifungwa 4-0 na Azam FC

Caption

Kipigo cha mabao 4-0, kimeifanya Simba, kupata sauti na kuamini kuwa wanao uwezo wa kuifunga Yanga hata kama watakuna nayo leo kwenye michuano hiyo ya Kombe la Mapinduzi

Caption

Wachezaji hawakucheza kwa kujituma, na kutimiza wajibu wao uwanjani na kuwapa Azam nafasi ya kufanya walichoweza

Saturday, January 7, 2017

Caption

Yanga imejikuta ikichezea kisago cha maana kutoka Azam FC katika mchezo wa mwisho wa Kundi B kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi

Caption

Nimchezo wa kutafuta heshima na kumtafuta kinara wa kundi B, kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi

Friday, January 6, 2017