Thursday, February 23, 2017

Wednesday, February 22, 2017

Caption

Goal inakuletea kikosi cha pamoja cha Simba na Yanga kulingana na ubora wa mchezaji na mchango wake ndani ya timu kwa msimu huu

Tuesday, February 21, 2017

Caption

‘Mgosi’ amesema Jumamosi ni siku yao muhimu msimu huu kwakua ndiyo watakapotangaza ubingwa huku wakiwa na idadi kubwa ya mechi mkononi

Caption

‘Cannavaro’ amesema mbinu wanazofundishwa na kocha wao George Lwandamina zinampa matumaini ya ushindi katika mchezo wao wa Jumamosi dhidi ya Simba

Monday, February 20, 2017

Caption

Kocha hyo amewatoa hofu mashabiki wao, na kuwataka kuja kwa wingi uwanjani kushuhudia burudani safi ambayo wataitoa siku hiyo

Caption

Tayari vijembe na kejeri zimeanza mitaani kuelekea mchezo huu huku kila upande ukijinasibu kuibuka na ushindi siku hiyo kisa ubora wa kikosi chao

Sunday, February 19, 2017

Caption

Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga Jumamosi wakati miamba hiyo ya soka itakapokutana kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara

Saturday, February 18, 2017

Thursday, February 16, 2017

Wednesday, February 15, 2017

Caption

Huo ni mchezo wa raundi ya sita wa michuano hiyo ambao umerudishwa nyuma baada ya awali kupangwa kupigwa Machi Mosi

Caption

Goal inakuletea baadhi ya nyota ambao wameibukia kuwa msaada mzunguko wa pili baada ya kusugua benchi duru la kwanza kwenye Ligi Kuu